Loading...
검색열기 메뉴
사진
로그인이 필요합니다.
사진
로그인이 필요합니다.
Tiny Pixel Farm
Global App
4.686
86 명 참여
무료
backward
forward
GLOBAL PUBLISHERS, Kupitia App yake mpya ya GLOBAL APP, imekurahisishia upataji na usomaji wa Habari za Kila Siku kuhusu Mastaa wa Bongo, Watu Maarufu, Viongozi, zikiwemo Habari za Magazeti ya Tanzania za kila siku asubuhi, REAKING NEWS mara tu zinapotokea kwa kupokea Notification kwenye simu yako ya kiganjani. Ndani ya App hii kuna Global TV Online ikikuletea video zote kali za kila siku kutoka Ikulu, Mastaa wa Bongo, Wanasiasa Wote na Matukio yote Makubwa.

AIDHA, utaweza kusoma MAGAZETI YA UDAKU pamoja na Hadithi za Eric Shigongo kwa Mfumo wa Audio na Text. Pia Video Za Muziki Mpya wa Bongo Fleva, Habari zote za Michezo na Makala za Mapenzi na Afya unazipata ndani ya GLOBAL APP. Utakuwa ukipata Notification mara tu Taarifa ya Habari yaTBC1 inapoanza saa moja asubuhi, saa 7:00 mchana, saa 2:00 usiku na Global Habari inapoanza kila siku jioni.
Mastaa wa Bongo: Diamond Platnumz, Ali Kiba, Wema Sepetu, Zari The Bosslady, Aunt Ezekiel, Hamisa Mobeto, Lulu MIchael, Tunda, Giggy Money, Malaika,

DOWNLOAD GLOBAL APP SASA ILI UWE WA KWANZA KUHABARIKA NA KUBURUDIKA!
리뷰 리뷰작성
4.686
86 명 참여
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0
추가정보
가격
무료
다운로드 수
100 미만
등록일
1970년 01월 01일
업데이트
-
파일크기
0byte
콘텐츠 등급
전체
인앱 상품
-
제공
Global Publishers
개발자
-
-
미스토어 앱 다운로드
이용약관
다운로드 및 설치 안내
사용자님의 리뷰
리뷰는 공개되며 수정할 수 있습니다. 리뷰를 삭제하지 않는 한 이전에 수정한 내용도 개발자와 사용자가 볼 수 있습니다.
100단어 이상의 리뷰가 가장 도움이 됩니다.
사용자님의 리뷰